Recent content by pomoka kimbotela

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa yafutilia mbali kifungu cha Sheria kinachosotesha watu rumande, Mtobesya ambwaga mwanasheria mkuu

    Wajiandae nini?, kwani hawajajiandaa sikuzote?
  2. P

    JamiiForums Tanzania John Guninita arudi CCM akiihama CHADEMA, amwomba radhi Rais Magufuli

    Hiyo ndiyo demokrasia, ndo maana ya vyama vingi wala siyoajabu kuona anarudi tena CDM.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali inaweza ku'Cancel' oda za bombadiers?

    Wewe ndege imekamatwa kwa muda tu! Lazima itakuja.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Kigwangalla acha unafiki, kama hujui sasa nakujuza

    Kuna ufuatiliaji bongo, thubutu!
  5. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Kigwangalla acha unafiki, kama hujui sasa nakujuza

    Acha kutukana mzigo manaeke nini?
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ni nani Valentino Mlowola?

    Ni jembe kama jembe la kikinga au kindali!
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ni nani Valentino Mlowola?

    Ni jembe kama vile jembe la kikinga au kindali.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Hoseah atalipwa stahiki zake?

    Jamani mbona mnamuonea hosea, mfumo ndo ulikuwa unambana kupambana na rushwa.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Agizo la wafanyakazi wa Serikali kutosafiri laimarisha thamani ya shilingi dhidi ya dola

    Heko mh. rais mpaka itakapofika desemba, 2016 dola moja itakuwa sawa na sh. 500.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ndugu Valentino Mlowola, DG PCCB tafadhali anza na hili, kwa haraka!

    jamani acheni majungu, kwani kupelekwa wamama kuna kosa gani?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ndugu Valentino Mlowola, DG PCCB tafadhali anza na hili, kwa haraka!

    jamani mnataka tuhamishwe watumishi wote wa makao makuu kwa kosa gani? kosa afanye hosea adhabu tupewe cc jamani mtuonee huruma na cc bado tunapenda kukaa mjini.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Ndugu Valentino Mlowola, DG PCCB tafadhali anza na hili, kwa haraka!

    Jamani; nikweli Hoseah alikuwa na mapungufu yake, lakini kitendo cha kutuhukumu cc watumishi wa makao makuu si sasa, tupo wengine majembe kabisa hapa HQ. kwanini sasa tuhamishwe twende mikoani?
Back
Top Bottom