Tatizo serikali ya ccm imekuwa na ubabe katika utendaji kazi. Sioni sababu ya kufanya mipango bila kuwashirikisha wananchi,mpaka mambo yakiwa tayari ndo wanapeleka kwa wananchi.Wananchi wa Mtwara wanakila sababu ya kulipinga jambo hilo.Serikali ingekuwa na nia ya dhati ingewashirikisha tangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.