Recent content by poking

  1. P

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja chenye title deed ya industrial linauzwa

    Habarini za usiku wa Leo.kiwanja chenye title ya industrial kinauzwa kunduchi kama unaelekea bahari beach karibu na chuo cha usalama.kina sq m 7400.ambae atapenda kukiona au kujua bei anicheki
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Inapigwa kabla ya kupanda,unasubiri siku 14 ndio unapanda.majani hukauka kabisa.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Piga dawa ya rounup kila chupa eka 1,subiri siku 14 kisha panda
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Nimelima iringa eneo linaitwa mahenge, nimetumia mbegu ya lindi 2002,nilipiga dawa inaitwa round up.ufuta sasa una mwezi mmoja.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Nimefanya spacing ya cm 30.ekari 15, nyingine 15 nilipiga dawa ya magugu napanda kesho.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    I mean kilimo kinakwendaje? Mi nakwenda vema nimefanikiwa kupanda.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Jamani wakulima wenzangu wa ufuta kilijo kinakwendaje?
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Napenda kujua na iringa wanaweza lima kwa kupiga dawa ya magugu? Maana kule hawajui wanapalilia mara mbili, au inategemea na udongo?
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Nataka kulima iringa eneo linaitwa Mahenge
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Habari kaka?samahani una contacts ambapo naweza pata mbegu ya ufuta?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Sorry ni 0715393203
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Ninaomba namba yako tafadhali,yangu ni 9715393293
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Habari niambie iwapo nataka kulima na wewe heka 100 zaidi tufanye vipi kwani mimi sio mzoefu, ila napenda tushirikiane mie nipo Dar es Salaam.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Habari, yaonekana wewe ni mkulima mzoefu wa ufuta napenda kujua je kilimo hiki ni kigumu ama la, nataka kulima mwakani.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Okay, nashukuru sana kwaideas kuna eneo Iringa nasikia wanalima nkipata ukweli wa hili ntawajuza.
Back
Top Bottom