Mimi nilikua najibu tu hoja ya mchangiaji ili kama anaona magay walaaniwe na ahame maana wataambukiza tabia, pia afanye hivyo hivyo kwa wazinzi, wanaotembea na wake za watu na watoto , sio kwamba nakubalina na alicho sema , maana kama kuhama atahama sana kila mwezi wako kibao au dhambi zingine ruksa