Nataka nihame kutoka Mbeya kwenda Dar es Salaam ila nina chombo cha moto (bajaji) nataka nihame nayo.
Hivyo naombeni taratibu za kufuata ili niweze kuhama nayo na kuifanyia kazi nitakapo fika Dar, naombeni maelezo nianzie wapi mpaka wapi maana ilikuwa na usajili wa Mbeya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.