Recent content by p'ner

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kwa hii pesa 10 ml ni biashara gani naweza fanya

    Habari wana jamvi,kutokana na ajira kuwa ngumu familia imeamua kunipa mtaji wa milioni kumi ili niweze kujikwamua kiuchumi,naombeni msaada wa mawazo ni aina gani ya biashara na mchanganuo wake.Asanteni
  2. P

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi na vodacom tusaidieni kuwakamat hawa matapeli

    Ni kweli matapeli wamejaa mjini mimi nimetumiwa leo asubuh thic msg from thic number tuweni makini sana. 255752010545 Morning, Am Ibrahim From Trenics Intl. Dsm, Am In The Review Meeting For Public Relation Post Na Nimeona Cv Yako, Nataka Tufanye Deal. . Nakusaidia Upate Kazi Directly, Ukipata...
Back
Top Bottom