Recent content by PNC

  1. PNC

    JamiiForums Tanzania FIFA Awards 2023: Ni Messi tena

    Alistahili na ningeshangaa kama asingepata hiyo Tuzo Hakika HAKI imetendeka maana ni kura za wazi [emoji238][emoji238]
  2. PNC

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania kuna kila dalili Kuna wimbi la COVID-19

    Mmeanza Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  3. PNC

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Hajawahi toa hotuba Iliyofuatiliwa na watu wengi na kushangiliwa kama leo

    Ukweli lazima usemwe Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Tukirudi nyuma wakati mama yetu anaingia bila shaka alianza vizuri sana ila alianza kwenda mrama baada ya kuingizwa kingi kwenye tukio la kubumba la kesi ya ugaidi dhidi ya Mh Freeman Mbowe. Kama hiyo haitoshi akazid boronga baada ya...
  4. PNC

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aache kumsema vibaya Hayati Magufuli

    Upo sahihi ila chukulia mfano wewe ndiye TAL na maswahibu uliyopitia huenda ungemponda huyo mtu zaidi ya yeye anavyomuongelea
  5. PNC

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aache kumsema vibaya Hayati Magufuli

    Acha asemwe Ili wengine wajifunze
  6. PNC

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu, na Mkutano wa Hadhara Temeke Leo Jumatano 25/1/2023

    CHADEMA imekuwaje hawajaweka mkutano Jangwani pale. Sasa uwanja utatosha kweli?
  7. PNC

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu, na Mkutano wa Hadhara Temeke Leo Jumatano 25/1/2023

    Acha kabisa na kanuni ya Msafara sikuzote ni kuwa wanaanza kumi wanamalizia buku nikimaanisha huko njiani watu wanausubiria waunge nao
  8. PNC

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

    Tukatubu kwa katili muuaji aliyetangulizwa yeye
  9. PNC

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

    Hao ni kina nani Au mnatulazimisha tupate ban
  10. PNC

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

    Lumumba lini mtakuwa na akili
  11. PNC

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

    CHADEMA Lidude likuubwa
Back
Top Bottom