Recent content by pmas

  1. P

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ya vyumba 11 inauzwa Morogoro 35m

    In maeneo ambayo hayakupimwa (squatters)
  2. P

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ya vyumba 11 inauzwa Morogoro 35m

    NNyumba iko Kihonda cheers karibu na godown za Kihonda Viwandani. Ina hati miliki ya viwanja visivyopimwa (ya manispaa).
  3. P

    JamiiForums Tanzania HP elitebook 2540p inauzwa 300,000

    HP Laptop elitebook 2540p, CPU 2g i5 , RAM 2gb, HDD 250gb, Ina wiki 3 toka inunuliwe, bei 300,000.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa haraka unahitajika (laki 4), dhamana ni kiwanja

    Habari, Nahitaji mkopo wa haraka kiasi cha laki nne, niko Morogoro. Dhamana ni shamba/kiwanja eka mbili. Marejesho ni mwezi mmoja.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa bei rahisi

    Viwanja vinauzwa (eka 2) wami dakawa (umbali wa kama 0.5km kutoka barabara kuu ya dar-mwanza) bei ni 450,000 (laki nne na nusu) kwa kila eka. Havina hati ila vinatambulika serikali ya kijiji. Kwa mawasiliano 0652528977
  6. P

    JamiiForums Tanzania Looking for laptop

    HP, Ram 4gb processor AMD 1.6ghz HDD 320gb webcam 360,000 nicheki 0767469689
  7. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kuendeleza project ya kilimo urgent!!

    Habari!!! Natafuta mtu wa kuendeleza project niliyoianza ya kilimo (eka 10, kilimo cha umwagiliaji, Dakawa-Morogoro). Mpaka sasa 85% ya shamba limeshalimwa, liko katika hatua ya upandaji! (lengo ilikuwa kupanda mahindi na kuuza kama mahindi mabichi) SABABU 1.Kuna hela (running cost)...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Pikipiki 4 zinahitajika

    sawa mkuu! nitakutafuta
  9. P

    JamiiForums Tanzania Pikipiki 4 zinahitajika

    nimeku pm
  10. P

    JamiiForums Tanzania Pikipiki 4 zinahitajika

    asante, lakini preference ni san lg, fekon na boxer
  11. P

    JamiiForums Tanzania Pikipiki 4 zinahitajika

    0767476246
  12. P

    JamiiForums Tanzania Pikipiki 4 zinahitajika

    Kama zitapatikana mpya ni vizuri zaidi, au kama imetumika iwe muda mfupi.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Pikipiki 4 zinahitajika

    zinahitajika pikipiki 4 (san lg, boxer au fekon) nzuri. bajeti ni milioni 1 na laki 2 kila moja. asante
  14. P

    JamiiForums Tanzania nahitaji nokia n72, x2 au e5 nakupa tecno p3

    nahitaji nokia n72, x2 au e5, nakupa tecno p3, ni nzima haina tatizo, imetumika miezi 3. Kama unayo simu ya aina hiyo ni pm.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Naulizia wakala wa usafirishaji mzigo kutoka Thailand

    haina shida!
Back
Top Bottom