Recent content by Plutoz

  1. Plutoz

    Msaada kilimo cha matikiti maji

    Wanajf habari zenu,nlikua naomba kujua mbadala wa hizi dawa na mbolea maana huku kwetu inaonekana kua adimu kupatikana:- 1.fama gadi 2.DAP 2.CAN 3.LINKON Nalima matikiti maji mtwara(masasi)
  2. Plutoz

    Kilimo

    Wanajf habari zenu,nlikua naomba kujua mbadala wa hizi dawa na mbolea maana huku kwetu inaonekana kua adimu kupatikana:- 1.fama gadi 2.DAP 2.CAN 3.LINKON Nalima matikiti maji mtwara(masasi)
  3. Plutoz

    Car4Sale Tunauza gari mpya na used

    Tunauza magari mapya na used yenye hali nzuri kwa bei nafuu Kama unataka kuuza gari yako kwa haraka wasiliana na sisi tukusaidie kupata wateja kwa haraka Pia kama unatafuta gari zenye hali kwa bei nafuu wasiliana na sisi Tunapatikana Dar pia tunasafirisha mpaka mikoani Namba zetu : call...
  4. Plutoz

    Naomba kufahamishwa kuhusu tabia hii ya kuku

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tunamuepusha na kunguru mkuu na usumbufu
  5. Plutoz

    Naomba kufahamishwa kuhusu tabia hii ya kuku

    [emoji23][emoji23][emoji23] haitumiki tena ilishakwsha,ndio ana watoto na ndio wametoka kwenye yale mayai aliyokua anasuasua kuyalalia au kuyaatamia
  6. Plutoz

    Naomba kufahamishwa kuhusu tabia hii ya kuku

    Nimekukubali uliyosema ndio nimeyaona asante sana kwa kunifahamisha mkuu kuku wangu katotoa mayai yake yote 11 na hajaacha hata moja
  7. Plutoz

    Naomba kufahamishwa kuhusu tabia hii ya kuku

    Jamani asanteni sana kwa mchango wenu ila nimejifunza kua hii ni moja ya tabia ya kuku mwanzo anakua anasuasua ila baadae analalia vizuri tu,maana tarehe 20 july 2017 alitotoa mayai yake yote 11 na hakuna lililoharibika wala aliloacha kutotoa
  8. Plutoz

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Habari wana jf nilikua nawaomba kitu kimoja kwa yyt mwenye muongozo wa katika ulimaji wa tikiti maji F1 sukari kuanzia siku ya kwanza unapanda mbolea ya kwanza mpk ya mwisho dawa za kupulizia yaan kuaanzia mwanzo mpk siku unavuna. Ikiwa katika mtindo wa pdf itakua vizuri km hakuna pdf basi hata...
  9. Plutoz

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Kuku wangu nafuga ndani ya fens hawatok nje kwenda kuzurula na kuna vyombo vya chakula vimejaa chakula na maji ya kutosha
  10. Plutoz

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Unataka kuniambia hiz siku mbili alizolalia usiku tu mayai yatafaa kwenda kwenye incubator na vifaranga nikapata?
  11. Plutoz

    Naomba kufahamishwa kuhusu tabia hii ya kuku

    Naomba kufahamishwa kuhusu tabia hii ya kuku wa kienyeji Nina kuku wangu wa kienyeji pure ametaga kafikisha mayai 10 na ndio mtago wake wa kwanza lakin ameanza tabia ambayo sijaielewa ikifika jion anaenda kwenye kiota chake cha mayai analalia ikifika asubui wakati nafungua banda anatoka na harud...
  12. Plutoz

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Naomba kufahamishwa kuhusu tabia hii ya kuku wa kienyeji Nina kuku wangu wa kienyeji pure ametaga kafikisha mayai 10 na ndio mtago wake wa kwanza lakin ameanza tabia ambayo sijaielewa ikifika jion anaenda kwenye kiota chake cha mayai analalia ikifika asubui wakati nafungua banda anatoka na harud...
  13. Plutoz

    Natafuta kuku kuchi pure

    Natafuta kuku kuchi pure wapi nitawapata kiurahisi?
Back
Top Bottom