Recent content by platnum fubu

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nitamkumbatia

    bora bangi kuliko mapenz
  2. P

    JamiiForums Tanzania Inaniuma sana

    pilipili usio ila yakuashia nn?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Dear tanzania

    Salamu kwako nchi yangu mpendwa Tanzania Lengo la kuandika barua hii ni kukupa pole na machafuko yatakayo tokea kabla ya muafaka wa serika tatu au mbili ktk katiba yako takatifu inayo jadiliwa na watu wenye uchu wa madaraka wenye kujali matumbo yao binafsi na si ya watu...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Trh 22 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima kwa sura ya 1 & 6

    kama ni mfatiliaji mzuri wa bunge la katiba hawa viongozi we2 hawana maelewano na tusipo angalia itatengenezwa katiba ya chama fulani na si ya nchi kama yalivyo matakwa ya wanzania,ni bora hiyo katiba wahusishwe wasomi wa vyuo vikuu kutoka Zanzibar na Tanganyika wasio fata hitikadi ya chama...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Trh 22 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima kwa sura ya 1 & 6

    Hii ndo Tanzagiza anae bisha atengue kauli
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    mi naona tukiruhusu muundo wa serikali 3 vitu vitapanda bei zaidi ya hapa maana hiyo serikali ya tatu uchumi wake itakuwa inategemea Tanganyika na Zanzibar na pia tutakua 2na fanya chaguzi tatu. je, hiyo pesa za uchaguzi zitatoka wapi ya hiyo serikali ya tatu kama sio kutegemea bajeti za...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake hawakubali kuachwa.

  8. P

    JamiiForums Tanzania Nombeni ushauri jamani

    ishinde nafsi yko mapenzi yapo 2 na hayazeeki utayakuta 2 bro
Back
Top Bottom