Recent content by Platform One

  1. P

    Wanaume wenzangu soma hii post utakuja nishukuru kuhusu kupungukiwa nguvu za kiume

    Nguvu za kiume ni suala la kisaikolojia zaidi.
  2. P

    Nauza Jembe la trekta used disc tatu, Massey Ferguson. Bei 2.8 million Tshs

    Trekta used za Massey Ferguson zina range from Million 20 mpaka 26 hapo.
  3. P

    Nauza Jembe la trekta used disc tatu, Massey Ferguson. Bei 2.8 million Tshs

    Ngoja nione mkuu. Maana mpaka sasa bado sijapata mnunuzi.
  4. P

    Nauza Jembe la trekta used disc tatu, Massey Ferguson. Bei 2.8 million Tshs

    Kwa sasa nime kwama sana, kiuchumi hata hela ya kutengeneza sina. Ndio maana nataka niuze jembe lake.
  5. P

    Nauza Jembe la trekta used disc tatu, Massey Ferguson. Bei 2.8 million Tshs

    Trekta ni Massey Ferguson ila ni mbovu sana kiasi kwamba vifaa vyake nilivitoa nikaweka ndani na vimekaa muda mrefu sana. Kwenye chumba.
  6. P

    Nauza Jembe la trekta used disc tatu, Massey Ferguson. Bei 2.8 million Tshs

    Frame yake ni nzima kabisa. Disc zake ndio zimekwisha. Lakini disc sio gharama sana. Mtu anaweza kuweka disc mpya zote tatu.
Back
Top Bottom