Recent content by PlataOPlomo

  1. P

    JamiiForums Tanzania DHULMA TUNAZOTENDEWA NA BENKI YA CRDB ILHALI BENKI KUU YA TANZANIA , INAONYESHA KUWA UPANDE WAO KWA KUSHINDWA KUJIBU "REVISION" KWA MUJIBU WA SHERIA.

    TATIZO KUBWA – WITO WA HAKI NA UWAZI KIFEDHA TANZANIA Kampuni ya Peachy Village Company Limited, yenye makao yake makuu Dodoma, Tanzania, imejikuta katika hali mbaya kifedha baada ya kufunguliwa kwa akaunti za benki zisizo halali kwa jina lake. Tukio hili limeleta hasara kubwa, likiathiri...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Unauthorized action of CRDB Bank Plc of opening a company's account to unauthorized persons without the consent of the rightful owners

    Shukrani kwa ushauri mzuri sana , tutakua tayari endapo tutajibiwa rufaa na kuona namna gani LAKINI KILIO CHETU KIKUU NI UKIMYA WA TAASISI INAYOPASWA KUJIBU RUFAA KISHERIA NA KWA MUDA ULIOWEKWA LAKINI ZAIDI YA MIEZI MIWILI IMEPITA BILA YA MAJIBU HA RUFAA YETU WALA ENFORCEMENT NA NDIO...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Unauthorized action of CRDB Bank Plc of opening a company's account to unauthorized persons without the consent of the rightful owners

    Nashukuru kwa ushauri mzuri pia tunasubiri majibu ya rufaa CRDB BANK PLC NA BANK OF TANZANIA wameshafanya investigation natumai wamewagundua wahusika na wamewachukulia hatua.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Unauthorized action of CRDB Bank Plc of opening a company's account to unauthorized persons without the consent of the rightful owners

    Niligundua baada ya kufuatilia malipo ya kampuni kutokana na tender iliyokuwa imefanyika kwenye kituo Cha afya.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Unauthorized action of CRDB Bank Plc of opening a company's account to unauthorized persons without the consent of the rightful owners

    Kaka hao ndio hawana msaada kabisa na namba zao ninazo na nishafika hadi pale Makole ofisini kwao Dodoma , wale wengi wanakua watendaji na mabibi maendeleo ya jamii wanadeala na case za kawaida sana hizi hawataki hata kusikia
  6. P

    JamiiForums Tanzania Unauthorized action of CRDB Bank Plc of opening a company's account to unauthorized persons without the consent of the rightful owners

    Kindly, read my post again. I've already narrated regarding this and also I attached documents just go through em , you'll get something to learn and that's why Bank of Tanzania determined in favor of us, you got me my brother just read that determination attached ait.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Unauthorized action of CRDB Bank Plc of opening a company's account to unauthorized persons without the consent of the rightful owners

    Natamani Tz tungekua kama KENYA kwenye maandamano ningetarget sehemu zangu za kuchoma m*to ..
  8. P

    JamiiForums Tanzania Unauthorized action of CRDB Bank Plc of opening a company's account to unauthorized persons without the consent of the rightful owners

    Kampuni yetu , HAIKUWAHI KUFUNGUA ACCOUNT KWENYE BENKI YA CRDB, LAKINI CRDB WALIFUNGUA ACCOUNT NA WAKAPITISHA PESA NA ZIKATOLEWA NA HAWATAKI KUWAJIBIKA, NA BENKI KUU YA TANZANIA INAWASAIDIA KWA SABABU KIMYA CHAO NI KUKIUKA SHERIA NA TARATIBU KATIKA FINANCIAL CONSUMER PROTECTION
  9. P

    JamiiForums Tanzania Unauthorized action of CRDB Bank Plc of opening a company's account to unauthorized persons without the consent of the rightful owners

    Ukitendewa chochote kibaya na Mabenki jua BOT hawana msaada labda watoe msaada kwa aliyekukosea na si wewe Muathirika.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Unauthorized action of CRDB Bank Plc of opening a company's account to unauthorized persons without the consent of the rightful owners

    I'll take em even to the international human rights defenders and watchdogs
Back
Top Bottom