Nimewaza sana ndugu zangu imefika mahala nimeona niwashirikishe ili mnishauri
Katika pitapita kujifunza maisha kuna sehemu jikakuta andiko Ukiwekeza 100k kila mwezi kwa miaka 15 katika mifuko ya uwekezaji unatapata zaidi ya 50m
Sasa nikawaza mbona hii mimi naweza hata 200k kila mwezi...
Mimi ni nimeishi na mke wangu kwa miaka 8 I mean hatukufunga ndoa na tumefanikiwa
*kujenga nyumba
*kuwa na biashara ndogo ya uwakala
*Kupata watoto watatu
Ishu iko hivi mwaka mmoja uliopita nilianza kuhisi mahusiano kupoteza mwelekeo, hadi sasa mwanamke anadai tuachane akafanye maisha yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.