Recent content by piyonerer

  1. P

    JamiiForums Tanzania Trump akimwambia Paul Kagame out, Ni dhahiri nchi zetu si lolote kwa Kagame?

    Una hoja nzuri, ila umeamua kujiziba masikio usisikie kile Trump anasema kuhusu Kagame? Umasikini kuuondoa, viendane na kutovamia hovyo nchi za wengine
  2. P

    JamiiForums Tanzania Trump akimwambia Paul Kagame out, Ni dhahiri nchi zetu si lolote kwa Kagame?

    Tarifa iliyopo huko X (Twitani) ni kwamba, muda wowote PK ataanza kuchezea vikwazo na ama kufurushwa kabisa ikuluni na hawa walezi wa dunia hii Swali ni kwamba, nchi za Africa haziwezi kabisa kuadabishana mpaka tuingiliwe na watu dunia ya mbaali huko? Kama ndivyo, Je, Africa inaouwezo sasa...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kati ya Marekani na China, wapi ni bora kifursa?

    Uchinani ni wewe kwenda ukachukue bidhaa uje kupiga pesa bongo ila siyo sehemu pa wewe kwenda kutafuta fursa Wachina wenyewe hizo fursa haziwatoshei na ndiyo maana wamezagaa duniani ka wakimbizi utapata wapi fursa kwao
  4. P

    JamiiForums Tanzania Austria: Atekeleza tukio la mauaji huku akipiga kelele za "Allahu Akbar", alikuwa akitabasamu alipokamatwa na polisi

    Kwani wewe huyo jamaa ulimsikia akiimba Yesu ni Mungu au Allah akibaru? Kina sisi tusemeje sasa mkuu
  5. P

    JamiiForums Tanzania The Citizen: Sekta ya utalii yaongoza mapato ya nchi 2023/24; kongole kwa Royal Tour

    Asante Mungu kutupatia rasilimali nyinyi nchini kwetu Vipi kuhusu yale mabilioni yaliyotumika kutangaza kitu natural yalishalipwa mkuu
  6. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuseme bila unafiki: Kikwete ni tatizo kwa sasa nchini kuliko wakati wowote

    Wewe ni pi...........mbi? Ni wapi umesoma jina Jiwe? Njaa mbaya sana babu! Tafuta pesa acha uvivu na wivu wa kijinga we liccm
  7. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Kama CCM hawataki kuleta mageuzi kwa hiyari wataleta mageuzi kwa shuruti. Tujiandae kuzuia Uchaguzi

    Asante kwamba kumbe unajua watu wanaweza kuingia kati ili na wewe utie timu kucheza mchezo Na mchezo ni mchezo tu, hata Simba hufungwa na Namngo maalimu Acha upuuzi
  8. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Kama CCM hawataki kuleta mageuzi kwa hiyari wataleta mageuzi kwa shuruti. Tujiandae kuzuia Uchaguzi

    Endelea kuwa mjinga hivi hivi Hata Ufaransa walikuweko wajinga kama wewe, hata kule kwa Gadaf, kulikuweko watu aina yenu kibao Usijisahau ukaacha kutokutofautisha siku na siku Hata mwaka unayo majira yake Hata majambazi ya kule Congo yaani M23, hawakutokea tu kuwa majambazi, sababu ipo...
  9. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Huku Kanda ya Ziwa Ushindi Kwenu Upo Wazi!

    Yaani iko hivi! CCM, haina kanda ambako inapendwa, na wao wanalijua hili, kupita kwao ni wao kuwa washirika wa Ibilisi, na kazi za ibilisi zinajulikana bayana Kuiba, kuuwa, unyang'anyi na dhuluma, hayo ni baadhi tu ambayo shetani huwatumia wafuasi wake
  10. P

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na gharama ya ujenzi wa uwanja wa Dodoma kwa Tshs.310 billioni

    Kama nani na ni sh ngapi? Ni mradi gani uliooutilia mashaka kwamba kuna upigaji?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Hamas: Hatutafuata masharti ya Rais Trump kuwaachia mateka siku ya Jumamosi mchana

    Pasuka ijulikane! Au vaa bom mkuu ujilipue, bila shaka hawakujui!
  12. P

    JamiiForums Tanzania Hamas: Hatutafuata masharti ya Rais Trump kuwaachia mateka siku ya Jumamosi mchana

    Madrasa haifanyi mtu aelimike, eleweni sana nyie watu Piga shule kijana wa Mohamed acha ujinga
  13. P

    JamiiForums Tanzania Rais Trump awapa siku tatu Hamas kuwaachia mateka wanaoshikiliwa

    Dunia inahitaji viongozi kama hao
  14. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mrisho Gambo: Nitaenda kuwajibu nini wananchi wa Arusha. Jiji kama Arusha linakosaje stendi?

    Gambo alidhani miaka mitano ni kama miaka 50 Shauri yake, Sisi Arusha tunahitaji watu smart, na watu smart kivyovyote vile, wapo Chadema tu Hatutaki takataka za CCM
  15. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna shule inayovaa sare ya aina hii. Acheni kuichafua na kuipaka matope Serikali yetu iliyojenga madarasa bora mpaka vijijini huko

    Kukosoa na kupongeza vyote viende sambamba Shida ni wewe, kazi yako wewe ni kupongeza tu na hukosowi Kwa nini unawakasirikia wanaokosoa? Wewe sitiki kwenye eneo lako la kupongeza, waache wanaookosoa nao waendelee
Back
Top Bottom