Recent content by piusybruno

  1. P

    JamiiForums Tanzania Vijana tunafeli wapi?Kwani lazima kubet?

    GG uhakikia kaka
  2. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumeachana lakini mwanamke hataki tulee mtoto pamoja; baadaye anataka aseme katelekezewa mtoto na hicho kitu mimi sikitaki

    Uchumi upo wastani kaka na maisha yalikua yanaenda fresh tu baada ya mtoto kuwa mkubwa kidgo ndo matatizo yakaanza
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumeachana lakini mwanamke hataki tulee mtoto pamoja; baadaye anataka aseme katelekezewa mtoto na hicho kitu mimi sikitaki

    Mwanaume ni mkatoliki mwanamke msabato na amegoma kubadili dini
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumeachana lakini mwanamke hataki tulee mtoto pamoja; baadaye anataka aseme katelekezewa mtoto na hicho kitu mimi sikitaki

    Kwann mkuu ni hints kidgo kuhusu wapare labda kuna zingine ambazo sizijui
  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumeachana lakini mwanamke hataki tulee mtoto pamoja; baadaye anataka aseme katelekezewa mtoto na hicho kitu mimi sikitaki

    Habari zenu wakuu, Kuna jambo moja nataka kushare na nyie, nilikuwa katika mahusiano na mwanamke mmoja tukafanikiwa kupata mtoto mmoja tuishi pamoja toka 2021 tumekuja kutengana mwezi wa sita mwaka huu na sababu iliyofanya kutengana ni mke wangu kuanza kubadilika, ana kiburi kupita kiasi...
  6. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama mkwe nimemueleza aje amchukue binti yake kama anaona mimi namtesa

    Daaah hii tumepitia wengi
Back
Top Bottom