Recent content by piusluckness

  1. P

    SoC04 Maoni juu ya kurekebisha miundombinu ya kiafya (vyoo na takataka)katika mosoko ya jumla Dar-es Salaam, hasa Soko Kuu la Ilala

    Tanzania, kama nchi ambayo ukuaji wake wa kiuchumi unategemea sekta mbalimbali basi Masoko ya jumla yana nafasi kubwa na chanya katika pato la Taifa, kwani ukusanyaji wa mapato huwa ni kwa kiasi kikubwa katika masoko kulingana na shughuli mbalimbali zinazofanyika. Pamoja na faida kubwa ambazo...
  2. P

    SoC04 Makala juu ya namna Tanzania inavyoweza kutatua changamoto mama katika sekta ya uvuvi nchini

    Tanzania kama nchi inayoendelea kiuchumi, sekta ya uvuvi ni miongoni mwa sekta muhimu inayochangia ustawi na ukuaji wa pato la Taifa, ikiwa ni sekta inayotoa ajira nyingi rasmi na zisizo rasmi kwa wazawa ikiongozwa na sekta ya kilimo. Na Tanzania kama nchi Chini ya mifumo yake tendaji, imekua...
Back
Top Bottom