Recent content by PIUS PASTORY

  1. P

    Baadhi ya miradi iliyotekelezwa na Dr. Samia mkoani Mbeya

    Sekta ya Barabara Mkoani Mbeya, ujenzi wa barabara hii ya lami unatarajiwa kurahisisha usafiri wa bidhaa na abiria, na kuchochea uchumi wa maeneo hayo. Ukarabati wa Barabara za Mijini Mbeya, Mji wa Mbeya umenufaika na ukarabati wa barabara za ndani, ambazo zimetengenezwa kwa kiwango cha lami...
  2. P

    Ukusanyaji wa mapato ndani ya kipindi kifupi cha miaka minne

    Chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais wetu, mapato ya serikali yameongezeka kwa kiasi kikubwa! Kati ya Agosti 2020 na Machi 2021, tulikusanya shilingi trilioni 11.2, lakini katika kipindi kama hicho kati ya Agosti 2024 na Machi 2025, tulikusanya zaidi ya trilioni 21.2!" Vyanzo vya Kuongezeka kwa...
  3. P

    Sura ya ndugu Hamphrey Polepole yaonyesha udharirishaji wa hali ya juu kwa taifa lake

    Unachokiwaza kichwani ni Sawa na 0 huna lolote wewe jifanye kama huelewi ili tukujue vizuri
  4. P

    Sura ya ndugu Hamphrey Polepole yaonyesha udharirishaji wa hali ya juu kwa taifa lake

    Sura ya ndugu Hamphrey Polepole yaonyesha udharirishaji wa hali ya juu kwa taifa lake na watu wa Aina hii uzalendo huwa unawashinda. Ushauri wangu kwa watanzania wote mjibuni Polepole kwa hoja ili atambue kipindi Kabla hajajivua madaraka alikuwa miongoni mwa hawa anaowadharirisha. Penda taifa...
  5. P

    GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Rufaa ya songwe ✅Sekta ya Maji,Usambazaji wa maji umeongezeka kutoka 54% hadi 78% kwa Mijini na kwa vijijini kutoka 45% hadi 51% ✅Sekta ya madini Dkt samia ametoa leseni ndogo 37 kwa wachimbaji wadogo na kuwa na uhakika wa maeneo ya uchimbaji
  6. P

    Miaka minne ya Rais Samia katika sekta ya elimu

    Miaka Minne Ya Mama Nyumba 159 za walimu wa shule za msingi zimejengwa katika Mkoa wa Songwe. Ujenzi wa nyumba hizo umewezesha walimu kukaa karibu na shuleni hivyo kutumia muda mwingi kufundisha wanafunzi. #kurayakwanzakwasamia #haijapatakutokea
  7. P

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Rais Samia ameongeza bajeti ya elimu na mafunzo kutoka TZS4.72Trilioni mwaka 2020/21 hadi TZS6.16Trilioni mwaka 2024/25 sawa na ongezeko la TZS1.45Trilioni. Bajeti ya Elimu na Mafunzo ndio bajeti kubwa kuliko zote ikifuatiwa na bajeti ya Wizara ya Afya na huku Nishati na Kilimo zikifuatia...
  8. P

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan (2020–2024) katika Kuimarisha Miundombinu ya Elimu ✅️Shule za msingi: 16,656 → 19,783. ✅️Shule za sekondari: 5,001 → 5,926. ✅️Madarasa ya msingi: 128,425 → 155,330. ✅️Madarasa ya sekondari: 46,928 → 81,052...
  9. P

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Serikali chini ya Mhe. Rais Dr. Samia Suluu Hassani imefanya maboresho ya miundombinu ya madarasa katika shule za msingi na sekondari ambapo hadi sasa kiasi cha shilingi Bilioni 104.5 zimetumika kuboresha shule ya sekondari Kongwe kwapakacha katika mwaka wa fedha wa 2023/2024 katika Ujenzi wa...
  10. P

    GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿📌 KIBAIGWA imethibitisha mapokezi ya kishindo kwa mgombea Urais kupitia tiketi ya chama chama Mapinduzi hakika Dodoma jambo limeitaika. #Haijapatakutokea #KurayakwanzaKwaSamia
Back
Top Bottom