Kajichafua mwenyewe nac watu ndio walio mchafua......kibaya chajitembeza na kizuri kinajiuza.......mlichonga kwa ccm kuwa wanasomba watu kumbe ukawa jana walisomba nini kwenye yale maroli....tour's.....min bus zote zile zilibeba vinyago cyo....na dakika ya mwisho wameelezwa wakasome Irani kwenye...
Pia nipeni mfano wa taifa japo moja ambalo limefanikiw kutoa elimu bure toka elimu ya awali mpaka chuo kikuu.....mnatudharau sana hata sie wasomi kwakutufanya wapumbuvu tusio kuwa na uelewa.....ovyo kabisa
...
Mpaka aibu mnaona wana ukawa.....kiukweli mmepwaya sana.....chama kimeonyesha hakina dira leo mnatueleza tukasome Kwenye wepsayte hivi mwananchi wakawaida huo mda anautoa wapi nani wangapi wanatambua au wanauelewa wamatumizi ya mtandao hiyo....kiukweli mmetia aibu ya mwaka....
Mbona nikikundi cha vijana wachache Tena inaonyesha waliandaliwa mahususi kwa kazi hiyo...ictoshe hata mchukua vidio aliganda sehem moja tu palipo navijana hao....mwisho ujue kila chama kinauwezo wakuandaa watu kama hao hivyo bac napenda shauli wanasiasa wasipende tumia vikundi ili kuonyesha...
Mtanunua waandishi na baadhi ya vombo vya habali ambavyo avitumii taluma yao vyema katika kutuelimisha wananchi katika kipindi hiki kigumu kwetu lakini kamwe hamto weza wanunua wananchi wa taifa zima.....japo kuwa ni kweli tunahitaji mabadiliko lakini c hivyo mnavyotaka nyinyi kwakutufanya sie...
Mmeonesha zahiri namna mlivyokuwa mmejipanga chadema kupeleka watu wenu kwenye mjadala....mbaya zaidi hata waongozaji walijisahau nakuonyesha zahiri wako mlengo furani wa chama hasa pale walipokuwa wakiongea watu wa upande frani walionekana kuwadhalau......kweli mwaka hu mnakazi sana ukawa...
Tatizo c kuongea makabila...tatizo hapa ni pale mtu anapojisahau kuwa c mfuac wa chama kile tena nakujikuta matendo yake yote namisemo yake ni ile inayotumiwa na chama A bila kujua yeye sasa nichama B...nisawa na leo mgombea wa Chama A kutumia people's tena mbele ya hadhila..bila shaka watu...
Mkiona mtu mpaka anajisahau nae anaimba areselema na akina mama wanaitikia aleja ndio ujue magufuli ni shida...japo nyuso zao azionyeshi zinamkubali nayo nafsi inamuumbua pale anapojikuta akiimba nyimbo za tingatinga....mmasai na kisukuma wapi na wapi......
Kweli wangonjwa hustahili faraja lakini kwa hawa wa ukawa do! Nisawa nakumraghai mgonjwa....ukawa poleni sana yote haya mliyatafuta na kuyakaribisha wenyewe poleni sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.