Kiwanja kinauzwa goba tegeta "A" kwa bedui
Dakika 5 tukutoka kwa bedui center
Dakika 7 tuu mpaka goba centre
Dakika 10 tuu mpaka madale mwisho
Kiwanja kina sqm 722 (Upana wastani wa 19m and urefu ni mita 38)
Kuna barabara unafika na gari bila tatizo
Eneo limejengeka vizuri sana. Kiwanja...
Kiwanja kipo karibu na kanisa la Sabato dakika 5 kutoka barabara inayoelekea Goba mpakani. Kiwanja kina mapana yafuatayo. Upande unapakana na barabara ni mita 16 na marefu yake ni mita 38. Upande wake wa nyuma ni mita 22. Bei yake kuanzia TZS26 milioni. Maongezi yapo tuwasiliane
Hii ni Tanzania na wala Chato haiko kwenye mradi wa SGR! JPM ndiyo mwamba kuwahi kutokea. Kwa mara ya kwanza Tanzania iliingia kwenye flyovers, SGR, Ndege za kisasa na mambo mengi lukuki.
Mtajenga tu sanamu yake bila wewe kutaka. Tatizo lake aligeuza meli ghafla mno kabla ya kuwaanda abiria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.