Recent content by pistologist

  1. pistologist

    Ubongo, Akili au Hisia?

    Siamini katika swala moyo kabisa that's why nilipenda kuutenga kwenye uzi.
  2. pistologist

    Ubongo, Akili au Hisia?

    Watoto wa MMU na Chi Chat, hizi mada wanaishiaga kuona rangi rangi tu. Hii mada ni ngumu kwao. Achana nao mkuu.. Naomba maoni yako.
  3. pistologist

    Ubongo, Akili au Hisia?

    Macho ya mwanamke huwa yapo sensitive sana kwenye rangi ya kitu kuliko content. Anyway, Jina lako linasema kila kitu pia, nishakusemehe.
  4. pistologist

    Ubongo, Akili au Hisia?

    Kuna wenye vichwa vikubwa kuliko kawaida, pia huwa wana hilo tatizo.. Lakini vichwa wa saizi ya kawaida.. Sio wote wazima kichwani..
  5. pistologist

    Ubongo, Akili au Hisia?

    Kwahiyo mkuu, kwa kuwa makao makuu ya akili yako yapo MOYONI, ni wazi kabisa unafikiria kwa kutumia MOYO
  6. pistologist

    Ubongo, Akili au Hisia?

    Somo la vifupisho naona limeshaeleweka tayari. Bado kufundishwa vitu vidogo vidogo kama matumizi ya herufi kubwa baada ya nukta. Utajua tu kuandika!
  7. pistologist

    Ubongo, Akili au Hisia?

    There are authoritative standardized abbreviations. Hivyo vifupisho vyako huwa naviona kwa wadada wanapowajibu wanaume wako texts messages.
  8. pistologist

    Somo zuri: Tuthamini utu na heshima kwa mkubwa na mdogo tusiishi kwa mazoea

    Chapisho hili limeandikwa na mtu aliye-experince hili tukio, full of details! Asante mkuu.
  9. pistologist

    Ubongo, Akili au Hisia?

    Umepangilia hoja zako vizuri, chapisho lako linafikirika.
  10. pistologist

    Ubongo, Akili au Hisia?

    Nilidhani unajua kuandika.
  11. pistologist

    Ubongo, Akili au Hisia?

    Mkuu, ni wazi kabisa unge-suggest wote wanaosema " tumia akili " , wawe wana-point kifuani badala ya kichwani.
  12. pistologist

    Ubongo, Akili au Hisia?

    Diagnostic
  13. pistologist

    Ubongo, Akili au Hisia?

    Sawa mkuu
  14. pistologist

    Ubongo, Akili au Hisia?

    Hata alama ya kiulizo hufunga sentensi pia, sio lazima uone nukta.
  15. pistologist

    Ubongo, Akili au Hisia?

    NDIO NDIO MOYO unahusiana vipi na akil/ubongo katika hili?
Back
Top Bottom