Recent content by Pipi

  1. P

    GE2010 Wana JF Tumeiangusha CHADEMA, tumewaangusha watanzania, tumemsaliti Dr Slaa

    Inabidi tujipange upya na kwenda vijijini kabisa. Hata hivyo inabidi tujisafishe na ile dhana ya kuonekana tuna chembechembe za udini ambazo CCM inazitumia dhidi ya CUF-Uislamu na CHADEMA-Ukristo.
Back
Top Bottom