Recent content by Pio Gama Pinto

  1. P

    JamiiForums Tanzania Omary Mjenga: Gharama za Gulf Stream kwenda Rio de Janerio Brazil ni mara 7 ya Dreamliner ya ATC

    $ 5000 kwa gharama zipi? Kula, kulala, kusafiri bure. Bado per diem 5000! Naomba utaalamu hapa
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kasimu Majaliwa: Polisi Mtafuteni Mmiliki wa Jengo

    Yaaani ghorofa inaanza kujenga na serikali haijui mmiliki ni nani na yuko wapi? Kibali hakina majina yake? DUH Hii ni danganya toto na uzembe mkubwa.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Marekani na Ulaya kumsikiliza Rais Samia akizungumza kwenye Mkutano wa G20 usiku huu

    Tena hotuba atasoma yaliyoandikwa. No imprpmtu speech hapo
  4. P

    JamiiForums Tanzania Marekani na Ulaya kumsikiliza Rais Samia akizungumza kwenye Mkutano wa G20 usiku huu

    "kuwaweka macho mamilioni ya watu Ulimwenguni kwote kwa ajili ya kufuatilia hotuba yake" . Hii uliipata wapi? Weka hapa hotuba yake tuone atachosema ni nini kipya? Si kuomba mikopo tu na uwekezaji?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Miongoni mwa Wabunge 19 waasi wa CHADEMA wawili kati yao ni wake za Benson Kigaila na Salumu Mwalim hoja kuwa waliapa bila baraka za chama zinaukweli?

    Paskali Hiyo karma ni imani yako na mimi nina yangu. Tuachane nayo na tuangalie sheria inasemaje. Karma ni imani ya Wahindu ambayo haina mantiki wala mashiko. Hata muuaji anaweza kuiambia mahakama kuwa ni karma imemtuma kuua kwa hiyo yeye hana makosa!! Wewe Paskali kama wakili msomi unaweza...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kuepusha majengo kuanguka hivyo; Itungwe Sheria ya nyumba na kanuni za ujenzi

    Hakuna town planning Kama ipo imesahauliwa Tunajenga kiholela kama uyoga
  7. P

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma, Mmeona Madhara ya kutotizimiza wajibu wenu eneo la kazi? Maumivu ni makubwa mno

    Nakubaliana nawe 100% Ila najua siku za nyuma matukio kama haya yalifichwa na kusahauliwa Mfano, pale karibu na hospitali ya Ibrahim Haji watu walikufa hadi leo kimyaaaa
  8. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Watu 13 wamefariki kwenye jengo lililoporomoka Kariakoo. Serikali kugharamia matibabu ya majeruhi na kuhakikisha waliofariki wanasitiriwa

    Tuna hakika hakuna majengo mengine yanayosubiri kuporomoka na kuua? Kuna rushwa kubwa katika kazi za ujenzi hapa nchini !
  9. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Watu 13 wamefariki kwenye jengo lililoporomoka Kariakoo. Serikali kugharamia matibabu ya majeruhi na kuhakikisha waliofariki wanasitiriwa

    Je, hakuna hatua za kisheria na kinidhamu? Ni kina nani waliohusika na usimamizi na uthibitishaji wa kazi iliyokuwa ikiendelea?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ni tokea Kikwete apandishe pension ya wastaafu wa Hazina toka 25,000 hadi Laki moja miaka 20 iliyopita hajatokea tena

    Wastaafu wa serikali wote wana bima ya afya lakini wanaolipwa na Hazina hawana KWANINI?
  11. P

    JamiiForums Tanzania PICHA: Rais Dkt. Samia aelekea Brazil kushiriki mkutano wa G20

    Kwenda kutembeza bakuli la mikopo
  12. P

    JamiiForums Tanzania Jengo la ghorofa kadhaa laanguka mjini DSM!

    Kisheria hakuna ujenzi usiokaguliwa na kuidhinishwa na city engineer Hapa kuna watu wazito wawajibishwe moja kwa moja
  13. P

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Vyombo vya habari vinakiuka maadili!!

    Kuna kolamu na makala katika magazeti utaona dhahiri hapa vigogo wametoa vibunda vya noti. Ni pamoja na makampuni ya binafsi na mashirika na wizara. MSHIKO TU !!
  14. P

    JamiiForums Tanzania Unadhani kama tungekuwa na tume ya uchaguzi kama ya USA, Samia angeweza kutoboa hata kwa 10%?

    USA kuna tume ya uchaguzi? Nani mwenyekiti?
  15. P

    JamiiForums Tanzania Ni tokea Kikwete apandishe pension ya wastaafu wa Hazina toka 25,000 hadi Laki moja miaka 20 iliyopita hajatokea tena

    INASIKITISHA TENA WAO HAWANA BIMA YA AFYA SAWA NA WENZIWAO
Back
Top Bottom