Recent content by pinkylola

  1. P

    Huyu binti ni mrembo kwa kweli, ila hapa tu ndo anaponikoseshaga raha

    Mpeleke hospt hilo ni tatizo la kinywa na co kutopiga mswaki. Hiyo ni fungus wako kwa mdomo.
  2. P

    Anasema nimuamishe alipopangishiwa na mpenzi wake na nimpangie sehemu nyingine ili tuwe huru!

    mchumba wako vp? kwann uingei kwa mtu mwingine mpaka mmefikia hatua za kupima ! hupo inamaanisha mchumba wako bac. So Ushaur muhamishe hapo alipo ili muenjoy.
  3. P

    Nipo njia panda, Mpenzi aliyeniacha anataka turudiane nami nina mpenzi mwingine, nifanyeje?

    Huyo wa kwanza mwambie akalale mbela,it obvious that ameshindwa huko alikotoka ndo maana amejirudisha kwako. My advice.......proceed with the second guy.
  4. P

    Mgeni

    Asante jamani! ukaribisho wako tu nimefurah.
  5. P

    Kwanini wanaume hamwathamini wanawake?

    Mara nyingi wanaume akianza chini na mwanamke , anakula naye shida ugali na ndimu then mambo yakibadilika akishafanikiwa , anamiliki nyumba ,gari anaona yule mwanamke hafai tena amezeeka na hafananii kuishi ktk nyumba hiyo ndo anatafuta anayefaa kuishi naye na kutoka naye.
  6. P

    Mgeni

    Habar wandugu! mimi ni mgeni humu naomba mnipokee. Asanteen
Back
Top Bottom