Recent content by Pinkish

  1. P

    JamiiForums Tanzania Chuchu zinauma sana, nifanyaje?

    Kila unapompa mtoto anyonye ndo nafuu yako. Weka ktk kikombe subiri ipate vuguvugu. kwakua umesema umezaa kwa kisu ngoja ipate vuguvugu unywe itatoa maziwa mengi.. pole
  2. P

    JamiiForums Tanzania Chuchu zinauma sana, nifanyaje?

    Pole sana, ila nikawaida hata dada yangu ilikumta kama hivo.. chukua biringanya chemsha unywe maji yake yakiwa bado yamoto, maziwa yatatoka vizuri na usiogope kumnyonyesha mtoto kila unapomnyonyesha ndo unapopata nafuu.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili Mimba isiharibike tena?

    Asante ndugu yangu kwa ushauri wako mzuri.. namuomba sana mungu alijalie nilee vizuri na nizae salama,Thank you alot
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili Mimba isiharibike tena?

    Asante sana nitafanya hivo haraka.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili Mimba isiharibike tena?

    Asante kwa ushauri wako nitafanya hivo
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili Mimba isiharibike tena?

    Hapana sikuwahi kuchoma sindano yoyote
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mwanamke zingatia haya ni kwa faida yako

    Thank you mungu akubariki
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili Mimba isiharibike tena?

    Amin asante.. waliniambia tu mimba ilishindwa kukuwa.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili Mimba isiharibike tena?

    Asante sana nitafata ushauri
  10. P

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili Mimba isiharibike tena?

    Nilikwenda spitali walinambia tu mimba ilishindwa kukua that's all
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili Mimba isiharibike tena?

    Habari zenu wana jamiiforums. Kwanza kabisa ningependa kuwashukuru nyote kwa msaada wenu, mimi nina miaka miwili katika ndoa yangu sikupata mtoto lakini nilijaribu kusoma ushauri wenu tofauti tofauti kuhusu jinsi ya kupata mimba, nashukuru nikafanikiwa kupata ujauzito mwaka huu mwezi wa kwanza...
Back
Top Bottom