Mipango ya muda mrefu ipi tena unayozungumzia ndugu? CCM tayari iko madarakani kwa miaka karibuni 50 sasa na hakuna mabadiliko ya maana tuliyoyaona. Nchi nyingine km Malasyia na Thailand katika kipindi hiki cha miaka 50 tayari wamepiga hatua kubwa sana CCM ndio chimbuko la umasikini uliokithiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.