Recent content by PIMWA

  1. PIMWA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ambao wameoa mwanamke daktari naomba kujua raha na karaha

    IQ yako imzidi.
  2. PIMWA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza

    Maswali ya msingi ili break code.
  3. PIMWA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza

    Kwanza pole kwa upweke ila naomba nikuulize 1.Mtoto ana miaka mingapi. 2.Baba mtoto yuko mkoa gani. 3.Kuna mawasiliano na huyo baba mtoto wako.
  4. PIMWA

    JamiiForums Tanzania Tanzania kusoma zaidi ya degree ni ishara ya ukosefu wa akili

    Diploma inatosha. Chagua tu marketable skills. Sio unasomea sports science.
  5. PIMWA

    JamiiForums Tanzania Pale Nilipoamua kuwanyoosha watu wa kukopesha mtandaoni

    Sio wale wa pale Victoria
  6. PIMWA

    JamiiForums Tanzania Pale Nilipoamua kuwanyoosha watu wa kukopesha mtandaoni

    Na Mkuu hawa jamaa hawafai hata Mimi yalinikuta ila Sasa nimewavutia kasi wakaongoza kiwango Sasa kibindoni nina laki 6 yao.Wakome
Back
Top Bottom