Recent content by pilipili kichaa

  1. P

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Nchimbi hayana maana yoyote ile!

    hayana maana yoyote kwako na wenzio! Ila kwa waliosoma "CUBA" yana maaana kubwa sana sana.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Venezuela yajiondoa Rasmi ICC. Ni muda muafaka kwa Tanzania nayo kujiondoa kutokana na chombo hicho kukosa muelekeo na kukumbwa na kashfa mbalimbali

    Mleta mada inaonekana una utapiamlo mkali wa akili! Kumbuka wanaojiondoa ICC ni viongozi madikteta ili wasikumbane na sheria kwa ukatili wao dhidi ya wananchi inaowaongoza!
  3. P

    JamiiForums Tanzania Hallelujah! Nchimbi Ameokoka, Bwana Asifiwe!!!?

    Awe makini sana yasije kumkuta ya Polepole! Hivi Polepole yupo kweli? Serikali imeshindwa hadi leo kuwakamata "magaidi" walimteka nyara?
  4. P

    JamiiForums Tanzania Jiuzulu. Nakushauri jiuzulu kabla ya ukingo

    Kwanini ajiuzulu yeye badala ya "mtuhumiwa" AU Wajiuzulu wote kisha waombe kura upya kwa wananchi ili ijulikane MBIVU MBICHI
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kama kuna tume huru ya uchaguzi, CCM haiwezi kuishinda CHADEMA. Michango ya tonetone ni uthibitisho kamili

    Huu ndio ukweli na wenyewe wanajua hili. Ndio maana hawataki katiba mpya!
  6. P

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kigogo aliyetaka kumshauri wa Rais amenyimwa nafasi ya kukutana na Rais

    Huyu huyu mstaafu ana nini? Yote anayolipwa bado haridhiki? Ufisadi aliofanya akiwa madarakani hata hajutii na anaendeleza! Shame!
  7. P

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kigogo aliyetaka kumshauri wa Rais amenyimwa nafasi ya kukutana na Rais

    Acha washupaze shingo. Mungu yupo.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Fasheni ni kila ovu kulinasibisha na abduli mtoto wa samia

    Wewe ndie abdul au? au wewe ndie yahaya? Bora ungekaa kimya kuficha upumbavu!
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa

    Mleta mda wewe ni mzima kweli? kumbuka ccm ndio imeshika dola! ccm ndio inaongoza Taifa kwa miaka 65 sasa! Raslimali za nchi wanaozitapanya wapendavyo ni hawa ccm! Ufisadi uliotamalaki nchini ni hawahwa ccm! Urekaji, uuaji na dhuluma zote ni hawahawa ccm! sasa ulitaka oongelee Taifa lipi bila...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Diamond, ni nani kakwambia Sumaye na Lowassa ni kabila moja?

    Achaneni na huyu kilaza. kwanza 'mingada' ilishamuharibu medula O'blangata!
  11. P

    JamiiForums Tanzania Yule Mgombea anayependwa zaidi Duniani kwa sasa Dkt. Samia Suluuhu Hassan Kutikisa Songwe

    Mleta hoja nenda kaungame dhambi hii ya kufuru!
  12. P

    JamiiForums Tanzania Watu Wasiojulikana mnasubiri nini kumtafuta na kumkamata Vladimir Lopez mpate USD 15M kutoka Marekani?

    yana mwisho! Na mwisho wao huwa mbaya mno mno!
  13. P

    JamiiForums Tanzania HIVI TUMEKOSA KABISA KIONGOZI MZALENDO ANAEWEZA KUWEZA KISIKI KWA YANAYOENDELEA???

    Wazee ni Warioba na Butiku tu labda na Ulimwengu. Hatuna mwingine zaidi ya madali watupu!
  14. P

    JamiiForums Tanzania Sarakasi: Tarehe ya kusikiliza Kesi ya Tundu Lissu Mahakama Kuu yabadilishwa, Sababu hazikutajwa

    Tuendelee kuwashtaki hawa watu kwa yule Hakimu wa Haki na haki itatendeke
Back
Top Bottom