Naweza tengeneza app na website pia,projects zangu nyingi nimezi host locally
Bado sijafanya real business project ambayo ipo hosted somewhere, au play store
Thus why nipo hapa,Ila unaweza nipa task ya kutengeneza website au app kabla hujanishika mkono just to test my ability, shukrani
Most of my projects nimehifadhi locally,japo baadhi nataka nizihamishie in my Github account as open source, sijafanya real project yoyote bado ambayo ipo hosted,thus why nimekuja kuomba connection ya sehemu ambayo nitaweza build real business application projects.
Ni vigumu MTU kukupa kazi...
Habari wakuu,
Kijana wenu PHP & JavaScript developer anatafuta kazi.
Nimesoma Computer science chuo kwa kipindi cha mwaka mmoja,sikuweza kuendelea kwa sababu ya kukosa mkopo.
Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote hapa dar kwa malipo ya kiasi chochote niweze mudu gharama za maisha.
Unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.