Mkazi Wa Chanika Dar Es Salaam, Lakini Nakuwa Nazunguka Sehemu Tofautitofauti kikazi Katika Nyakati Tofauti.
Saizi Nipo Mwanza, Sample Ya Kazi Naweza Kukutumia WhatsApp Nitumie Ujumbe Kupitia,
0760 785 108
KARIBU SANA!
Bila Shaka Haujambo Na Unaendelea Vizuri! Kwa Majina Mi Ni Max Ernest Ni Mtaalamu Wa Graphics, Branding & Social Media Management.
Nimebarikiwa Zaidi Katika Uandaaji Wa Matangazo! Hapa Namaanisha Matangazo Mazuri Ya Video Na Sauti!
Kulingana Na Uzoefu Katika Industry Hii Sifa Nyingi Na Namna...
For sure mi mwenyewe nipo selective sana kwenye content zinazotolewa na hizi media zetu, muhimu kuangalia ni chakula gani kizuri kwa bongo zetu taarifa ambazo si nzuri zinaathiri tabia kwa ujumla na kuporomoka kwa maadili ktk jamii zet
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.