WADAU HEBU TUWAZE na KUFIKIRIA KIJASILIAMALI KIDOGO. Tusaidiane kutokuwaza yafuatayo: gari na ajali, jiko na mlipuko, maji na mafuriko, upepo na kimbunga, hoteli na ukahaba, mkutano na uwizi, kisu na kifo, bangi na kuvutwa....etc. Kwani bangi haitumiki kutengenezea karatasi, mabegi, nguo...