Recent content by philyp

  1. P

    JamiiForums Tanzania University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Msaada; Dogo kachaguliwa udom ila yupo kwenye list ya multiple admission lakn kwenye vyuo vingne alivyoapply ardhi na ifm kote kakosa sasa inakuaje yupo kwenye list hyo na hapo inakuaje??
  2. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta room

    Habari wana Jamiiforums, Natafuta Room ya kupanga maeneo ya Survey au Kifungura.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Waliopata mikopo HESLB 2014/15

    hv ardhi majina ya mkopo wametoa nasikia tetesi
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    msaada ndugu s1450/0025/2011
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wa Ardhi karibuni building economics

    ok asante gheto za krbu na chuo zko wapi haswa na kuhusu hii coz iko tyt kivile
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wa Ardhi karibuni building economics

    asante naomba kujua juu ya accomodation hapo ardhi swala zima liko vipi
  7. P

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliochaguliwa Ardhi 2014

    thanx....
  8. P

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliochaguliwa Ardhi 2014

    niangalizie nami BE philip m tarimo
  9. P

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ku-login wenye account ya TCU linatokana na nini ?

    lbda shida ipo kweny password nenda forget password then fuata maelkzo
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu naweza kusoma Architecture?

    uzuri wa hyo coz its free unaweza ukajiajir mwenyew baada ya kumaliza and inafanya your mind to think very dip, hii coz kuichukua you need to be creative na hchi ndo kinaifanya hii coz iwe ngumu inaitaji msuli wa maana so ukichaguliwa be ready
  11. P

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu naweza kusoma Architecture?

    navyoona mm hge kusoma architecture unatakiwa uwe na score marks za juu sana kama 1.3 au 4 na watakufikiria coz hyo coz ina competition kubwa sana maana imepewa mkopo priorty hvyo wanaoaply hyo coz wapo wengi na isitoshe wengi wao wamechukua masomo ya sayansi sasa usitegemee una score marks...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu naweza kusoma Architecture?

    da sijui una uhakika asilimia ngapi na unachoongea bcoz guidebook ya tcu ya 2014/2015 inaeleza hata mtu wa HGE anaweza soma architecture
  13. P

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Nne yana mchango gani katika kuchaguliwa chuo?

    mfano mm nilichukua hge Alevel na matokeo ya kawa BBB na o level science physics na B chemistry D na biology na C alaf ktka kuaaply chuo nikaweka computer engineering as first priority nitachGuliwa kweli......??
  14. P

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Nne yana mchango gani katika kuchaguliwa chuo?

    wana jf ningependa kujua je kama umechukua science olevel ila a- level haukuchukua masomo ya science ila o level ulifaulu vizuri science je ukitka kuchukua course za science chuo wataangalia matokeo yako ya o- level
  15. P

    JamiiForums Tanzania Vyuo vinavyotoa degree za mezani Tanzania!

    hii ki2 kweli kabisa na sijui kwann
Back
Top Bottom