Kukimbia wajibu kwa bodaboda uwe huna kosa uwe na kosa lazima utoe pesa hicho ndicho kinacho wakimbiza ni wanapokea sana rushwa sasa mtu akifikiria kapata hela kidogo anatakiwa apeleke kipande cha boss,nyumbani wale,bado tena polisi anamuinda,ndiyo maana mtu anakimbia.alafu polisi walishaambiwa...
KANUSHO:
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro Amekanusha Taarifa hizi na amekutana na Vyombo vya Habari kuzungumzia kuhusu Taaarifa Hizo za Uzushi
=============================
Voda fasta wapigwa baada ya kumfukuza bodaboda na kumsababishia ajali na hatimaye kifo huko maeneo ya Kasanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.