Kama una tatizo au kusumbuliwa na chunusi kwa muda mrefu bac umepona, nakupa dawa ya bei ndogo kabixa naamini huwezi shindwa, nunua asali mbichi iwe safi, nunua pia mdalasini uliosagwa kisha chota vijiko sita vya asali (tumia kijiko cha kulia) na uchukue vijiko vitatu vya unga wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.