Recent content by Phillipo Bukililo

  1. P

    Mbwembwe za DP World, kwa kuanzia tu wanawekeza Dola milioni 500 bandari ya Dar

    Bandari ni taasisi nyeti sana, wengi wanaopiga kelele ni wanufaika wa huu mfumo wa sasa. Kwao mambo yakienda vibaya serikalini ndio huwa neema. Inakuja digital port, hakuna tena mianya ya upigaji inayozoeleka. Hawawezi kukubali kuona ulaji unawachomoka bila ya kupambana kwa kuilisha jamii pana...
  2. P

    Mbwembwe za DP World, kwa kuanzia tu wanawekeza Dola milioni 500 bandari ya Dar

    Digital Port haiwezi kupata marafiki wengi miongoni mwa wale waliozoea kufanya kazi kwa njia za kizamani. Wengi wao ndio hawa wanaojaribu kuwatengenezea mindset mbovu watanzania wakiwaambia kuwa Mwarabu anataka kuinunua nchi yetu! pathetic kabisa. Yaani Mwarabu asiinunue Somalia, Eritrea na...
  3. P

    Mbwembwe za DP World, kwa kuanzia tu wanawekeza Dola milioni 500 bandari ya Dar

    Dubai kajipanga kwa ajili ya mzigo wa madini kutoka DRC na Rwanda, huko Zanzibar yapo hayo madini anayoyafuata huko kwa majirani zetu wa Congo?. Ni akili ya kawaida tu inayopaswa kutufungua macho ili tuondokane na hizi chuki za kitoto.
  4. P

    Nimeupitia mkataba wa Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai. Naomba Ufafanuzi

    Povu jingiii jikite kwenye hoja ya kina. Hao waarabu wana biashara yao kule DRC na Rwanda, wanatumia njia ya kisasa ya logistics kuutoa huko na kuufikisha kwao Dubai. Jielimishe kwanza kabla ya kuanza kutukana usiowajua humu JF, nchi yetu inataka kufaidika na the whole logistics chain ya huyo...
  5. P

    Nimeupitia mkataba wa Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai. Naomba Ufafanuzi

    Tatizo uelewa mdogo halafu hujui kama hujui maskini ya Mungu. Bandari yako imepata muwekezaji mpya na hana tofauti na kina TICTS. DP World sio mwekezaji wa kwanza kuja Tanzania, kwanini anapingwa kwa nguvu zote hizi?. Ni ukosefu wa uzalendo wa watanzania kama ilivyo sifa yetu kuu. Hiyo treni...
  6. P

    Lissu na wengine wenye majigambo ya ubobezi wa sheria wanajadili mkataba hewa

    Kuna yule pimbi mmoja anaitwa Mwabukusi, anaongea kwa maringo midomo yake kaipinda kumbe ni pumba tupu. Another Kilaza anapewa muda mbele ya macho yetu, nchi ina safari ndege sana hii.
  7. P

    Nimeupitia mkataba wa Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai. Naomba Ufafanuzi

    Ujuha ni kukariri maisha ya jana ukadhani na kesho itakuwa hivyo hivyo. Ujuha ni kujiona unajua kinachofanyika kumbe unahitaji kuelemishwa kwa mapana.
  8. P

    Nimeupitia mkataba wa Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai. Naomba Ufafanuzi

    Kauli ni suala lako binafsi. Tatizo kuna tafsiri potofu kwamba nchi inauzwa, ni ya kishenzi sana kuweza kusikilizwa na vijana wanaokua miaka ya sasa. Mnajenga chuki mkitumia nguvu nyingi kupinga mradi ambao Hayati JPM alitumia nguvu nyingi katika kuujengea msingi wake kwa maana ya ujenzi wa SGR...
  9. P

    Nimeupitia mkataba wa Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai. Naomba Ufafanuzi

    Tatizo la haya maandishi yako ni uoga ule ule wa kitanzania.
  10. P

    Nimeupitia mkataba wa Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai. Naomba Ufafanuzi

    UAE ni muungano wa nchi ndogo saba. Dubai ni nchi ndani ya huyo muungano wao na inayo mamlaka ya kufanya biashara na taifa lolote duniani. Huu mkataba mkuu uliosainiwa bungeni kwa mujibu wa wataalam wa haya masuala ni agreement to agree, kitu kama MOU kati ya pande hizo mbili. Cha muhimu ni...
  11. P

    Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD

    Kwa sasa sina taarifa kamili, ingawa mzigo wa maana ni huo unaotoka DRC ambao DP World kaufuata huko huko.
  12. P

    Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD

    Hakuna anayetaka kubinafsisha bandari ni mkataba wa kibiashara unaokwenda kuongeza pato kutoka trilioni saba pesa aliyokuwa analipa TICTS kwa mwaka mpaka trilioni 26 na hapo hayo ni makadirio tu kwani inaweza kuzidi kiasi hicho. JPM alipokuwa anapambana usiku na mchana kujenga reli kwa kiwango...
  13. P

    Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD

    DP keshaini muda mrefu tu mkataba kule Rwanda. JPM aliacha ujenzi wa SGR umekwisha kusogea, muda sio mrefu inakaribia kumalizika. Hiyo ni chain kubwa ya biashara inayotoka Dubai kwenda DRC na Rwanda na kurudi kupitia bandari ya Dar. Amesaini na DP akiwa mkuu wa nchi, kwa ajili ya maslahi ya...
Back
Top Bottom