kuporomoka kwa CCM
Picha ya matokeo ya uahaguzi armeru na sehemu zingine
inaonesha kuwa mporomoko wa CCm upo kwa kasi kubwa japokuwa wengine tunaweza kujifariji na maneno ya kujifurahisha au kujifariji. ukiangalia Armeru Nguvu kubwa ya chama tawala ilikuwa huko na uwezo mkubwa wa watendaji wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.