Mlima Magara ni mojawapo kati ya milima iliyo na barabara zenye kona nyingi zaidi nchini Tanzania (kona zipatazo 150), ni barabara inayoelekea wilayani Mbulu mkoani Manyara.
Barabara hii ni kivutio kikubwa sana kutokana na kona nyingi, wanyama na ndege mbali mbali, ziwa manyara pamoja na Bonde...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.