Mbali na kampuni ya ALAF ambayo watu wengi huwa wanashauri ni kampuni gani ambayo ina stahimili hali ya hewa ya ukanda wa pwani yaani Dar es salaam kuna makampuni kadhaa ambayo mafundi hushauri mfano KINGLION BATI ZA CHENGA CHENGA, BATI KUTOKA KAMPUNI YA SUNSHARE WENYE UZOEFU NA HAYA MAMBO YA...
Naandika uzi huu nikiwa mmoja wa wakazi wanaotaabika na kero endelevu ya uchafuzi wa mazingira na hewa unaofanywa na Kiwanda cha Maranile Industries Limited, kilichopo eneo la Misugusugu / Saeni (Kibaha, Mkoa wa Pwani).
Kiwanda hicho kinachojihusisha na uzalishaji wa Ethanol, pombe kali pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.