Recent content by pharmast

  1. P

    JamiiForums Tanzania Waliosoma na wanaosoma vyuo vikuu uganda

    Wanataka minimum D kaka Kwa TCU, (3 principle pass )lakini sijajua Kwa nje ya nchi kama uganda ukiwa na E je TCU watakuruhusu ukasome na ukirudi Tanzania wataikubali degree.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya MD ya UDOM, KCMC na St. Francis ?

    Vp kaka umesoma Uganda au?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Waliosoma na wanaosoma vyuo vikuu uganda

    Tanzania competition ni kubwa lakini masomo ya afya hasa nurse si wanaangalia zaidi chemistry na biology au?
  4. P

    JamiiForums Tanzania Waliosoma na wanaosoma vyuo vikuu uganda

    Habari wakuu nilikuwa na uliza hivi Kwa haya matokeo ya physics-S, chemistry -D na biology -C a level anaweza soma banchelor of science in nursing Uganda na akirudi Tanzania akatambuliwa na TCU degree yake,naomba msaada kwa wenye uzoefu na hayo mambo
  5. P

    JamiiForums Tanzania RADIOLOGY AT CUHAS BACHELOR LEVEL

    Kumekucha kumechangamka aisee kipengele
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mfamasia akiajiriwa serikalini

    Aha sawa sawa
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mfamasia akiajiriwa serikalini

    Habari ,hivi mfamasia akiajiliwa serikalini bado anaruhusiwa kuitumia leseni yake kufungua na kusimamia famasi?
  8. P

    JamiiForums Tanzania Ameacha chuo mwaka wa pili kozi ya clinical medicine na anataka kwenda kusoma degree ya ufamasia

    Si ndo nashangaa kabadlika gafla sema tumuache tu labda kaona kitu kzr zaid
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ameacha chuo mwaka wa pili kozi ya clinical medicine na anataka kwenda kusoma degree ya ufamasia

    Embu nipe maelekezo labda ana mashiko tusije mlaumu bure
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ameacha chuo mwaka wa pili kozi ya clinical medicine na anataka kwenda kusoma degree ya ufamasia

    Hello habari kuna dogo kaamua kuacha kozi ya clinical medicine na kwenda kozi ya ufamasia ,na alikuwa anafanya vizuri tu sasa ilikuwa anakarbia kufanya mtihani wa cat one mwaka wa pili kaamua kuacha anataka akasome ufamasia tumemweleza aendelee kwanza na diploma afu atajiendeleza badae hataki...
Back
Top Bottom