Ahadi Gani unatoka job Unakuta kadi3 za ufadhiri?
Mimi may hii
Ufadhiri wa kanisa kianzio200,000/=
Za harusi3 ndani ya mwezi mmoja na Moja ya hiyo ni akamati kianzio150,000 kama kamati🙆🙆🙆
Hajielewi huyo. Matangazo Kila korido yanasema huduma ya mama mjamzito na mtoto ni Bure halafu Bado uuziwe tukisema tuonekane tunapenda vya Bure!! Huu ni ugonjwa sio bure
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.