Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha aloposhiriki Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya leo September 05,2025.
Maelfu ya Wananchi wa Wilaya ya Rungwe Mkoani...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan alipowasili Mbeya Mjini kwenye Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo September 04,2025.#HaijapatakutokeaKurayakwanzakwaSamia
Mbeya Mjini kwa upendo, mapokezi makubwa na mkutano mzuri. Tutatiki mwezi Oktoba, kisha tuendelee kuifanya kazi tukitanguliza utu, ustawi, umoja, utulivu na amani ya nchi yetu. Mwenyezi Mungu awabariki sana.#haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia
Rais Samia amekuwa akisisitiza Watanzania kudumisha amani na mshikamano, akiwahimiza kutanguliza utaifa mbele ya tofauti za kikabila, kisiasa na kidini,Katika hotuba zake nyingi, amekuwa akisisitiza kauli mbiu ya Kazi iendelee kwa mshikamano wa Watanzania wote,akimaanisha kila mmoja ana nafasi...
Mafanikio Makubwa ya serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dr. Samia Suluhu Hassan katika mageuzi bora ya nishati safi ya kupikia kwa wananchi kuanzia mwaka 2021 hadi 2025:
Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita (2021-2025) katika Sekta ya Nishati Safi ya Kupikia Chini ya Rais Dr Samia suluhu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.