Habari, kwa mwenye uhitaji na afisa masoko/mauzo kwa biashara yake basi nipo hapa.
Mimi ni kijana wa miaka 24 uzoefu wangu ni sales and marketing department kwa miaka 2 japokuwa ni mhitimu wa chuo kikuu upande wa HRM.
Vilevile ni dereva mzuri tu na nina leseni yangu Class 'E' namba zangu ni...
Habari wakuu,
Mimi ni Mtanzania halisi kwa kuzaliwa nipo Mbeya mjini natafuta kazi ya udereva ambapo uzoefu wangu ni wa magari ya mizigo ( Heavy Duty trucks na normal trucks ) nimeendesha gari kubwa kwenye kampuni ya MAHENGE TIMBER ipo Mbeya-Uyole kwa miaka 3 badae nikahamia SMART TIME...
Mimi ni kijana wa Miaka 25 nipo Mbeya Mjini, natafuta kazi na nipo tayari kufanya wakati wowote upande wa Mauzo na usimamizi wa biashara yeyote kwa uadilifu kabisa. Kielimu nina Bachelor degree ya HR kutoka Mzumbe na uzoefu wangu nimefanya kazi za kuuza ticket za mabasi ya mikoani stendkuu Mbeya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.