Recent content by Petro Oswald

  1. Petro Oswald

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu simuelewi. Naombeni mawazo yenu

    Ninachokijua ni kwamba ni ngumu sana kumridhisha mwanamke mwenye uraibu wa kujichua kutokana na sababu zifuatazo; 1. Kinembe kinakua kimepoteza msisimko kutokana na ganzi inayochangiwa na kusuguliwa mara kwa mara. Hivyo mwanamke huyo atalazimika kusugua eneo hilo kwa muda mrefu ili apate...
  2. Petro Oswald

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Sema insider kama kula ile kitu umeila vilivyo. Umekula vitumbua vya kila aina! Anyways, uliwahi kuahidi utakuja kueleza namna ulivyopona shida ya nguvu za kiume. Tunasubiri.
  3. Petro Oswald

    JamiiForums Tanzania Kwanini Uume Unashindwa Kusimama Vizuri Baada ya kufikisha Miaka 30?

    Watu wana miaka 70 na wanapiga show vizuri tu😀
  4. Petro Oswald

    JamiiForums Tanzania Tujifunze machache kuhusu umeme wa mwilini unavyoweza kukusaidia kuishi au kukuharibu mazima

    Natamani uelezee kiupana juu ya uhusiano wa nyayo na ardhi.
  5. Petro Oswald

    JamiiForums Tanzania Ni kama watangazaji wa vipindi maarufu kwenye haya maredio wamebadilishwa!

    Mbona umechelewa kung'amua mkuu?
  6. Petro Oswald

    JamiiForums Tanzania Tuache utani hili konokono la jamiiforums linatisha sana hakuna mbadala

    Mbona unakerwa na mambo madogo namna hiyo mkuu?
  7. Petro Oswald

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hiii tabia ya kukinai wanawake ni mimi tu au na wanaume wenzangu mnayo?

    Ugali kabeji haufanani na pilau nyama. Ukute washkaji wanakutana na ugali kabeji daily, lazma ukinai.
  8. Petro Oswald

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hiii tabia ya kukinai wanawake ni mimi tu au na wanaume wenzangu mnayo?

    🤣🤣
  9. Petro Oswald

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeoa wiki mbili tu zilizopita lakini tayari nimechoshwa na maisha haya

    Unakua kama ni mgeni kwa wanawake mkuu? Mwanamke anaweza kukuonesha attitude zaidi ya tano ndani ya mwezi mmoja. Unachopaswa kufanya ni kumjua mkeo vizuri, hizo ndo tabia zao jitahidi uwe mkomavu utatue matatizo yako mwenyewe. Kuishi na mwanamke sio kitu rahisi.
  10. Petro Oswald

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu aliniacha na kwenda kuishi X wake, sasa anataka turudiane

    Mimi siyo nabii lakini anguko lako lipo kwa mke wako wa zamani. Uimara wako upo kwa mwanamke wako wa sasa, ukitumia akili kufanya maamuzi utapona.
  11. Petro Oswald

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni mwezi wa pili sasa tumenuniana mi na mke wangu

    Unavyozidi kumpotezea ndivyo unazidi kumuweka mbali. Jishushe okoa ndoa yako then set standards na uhakikishe anazifuata.
  12. Petro Oswald

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mnajua mna matatizo

    Eeeh
  13. Petro Oswald

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Katika mambo ya kuepuka ni kuanzisha mahusiano ya kimapenzi na ndugu wa mkeo/mumeo maana gharama zake ni kubwa sana. Kuzuia hisia zako kuna manufaa makubwa mno!
  14. Petro Oswald

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuna fedheha kubwa kwa mwanaume kuzidi ya kushindwa kupiga show

    Hiyo ni hali ya kawaida kabisa ila ukitaka mambo yaharibike zaidi ulazimishe kurudisha hisia. Hisia huja zenyewe bila kulazimishwa. Ukipatwa na hali kama hiyo relax, tafuta wakati mwingine ukiwa uko poa zaidi maana lile tendo linategemea sana saikolojia yako.
  15. Petro Oswald

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuna fedheha kubwa kwa mwanaume kuzidi ya kushindwa kupiga show

    🤣
Back
Top Bottom