Yeah, but investor anatakiwa kutoa fedha kulingana na makubaliano ya mkataba, pia project manager anamajukumu yake ambapo asipo yatekeleza anawajibishwa kwa m
Mimi ninatoa nguvu na ujuzi ambao ninao kwaajili ya mradi ili kuwe na productivity, unaweza kuwa na fedha lakini hujui sehemu ya kuwekeza, kwakua mwekezaji kawekeza kwa 100% gawio lake kwa miaka mitano ni 60% wakati project manager atapata aslimia 40 % na miaka inayofuata tunagawana umiliki sawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.