Recent content by petermussa

  1. P

    JamiiForums Tanzania Tumia aina hizi za Testimonial/Shuhuda kuuza zaidi, unapotengeneza maudhui kuhusu biashara yako

    Ushuhuda wa Takwimu Onesha namba, idadi ya watu wanaotumia bidhaa au huduma yako Takwimu huongeza uaminifu kwa watu kama namba zikiwa nyingi Mfano: Zaidi ya watu 5,000 tayari wanatumia huduma hii kila siku Ushuhuda wa Matokeo ya Bidhaa yako Hapa tengeneza content za kuonyesha matokeo halisi...
  2. P

  3. P

    JamiiForums Tanzania Idadi ya mashahidi ni 30 vielelezo ni 9

    uzito wa ushahidi haupimwi kwa wingi wa mashaidi, ushaidi hupimwa kwa uzito wa ukweli wake na sio wingi wa watoa mashaidi
  4. P

    JamiiForums Tanzania Imekuwa trend ya Wafanyabiashara wengi mtandaoni siku hizi wakitengeneza maudhui kuhusu bidhaa au huduma,wanapenda kuishia kwenye sifa za bidhaa

    Ni kweli "Bidhaa hii ni bora......Ina ubora wa hali ya juu..... ina sifa hizi hapa...." Lakini inamsaidiaje mteja wako? Imekuwa trend ya Wafanyabiashara wengi mtandaoni siku hizi wakitengeneza maudhui kuhusu bidhaa au huduma,wanapenda kuishia kwenye sifa za bidhaa/huduma husika 👇 ✅Ina...
Back
Top Bottom