Recent content by petermunanka338

  1. petermunanka338

    Kununua VIFAA VYA UJENZI,Bei Nafuu

    KARIBUNI BBS TRADERS , **DUKA LA VIFAA VYA UJENZI** (BUILDING MATERIALS) Mahali: Kariakoo, mtaa wa Nyamwezi na Lindi **Tunauza vitu vya ujenzi , finishing materials, na kadhalika. ** Baadhi ya bidhaa zilizopo:- Cement, Bati, Gypsum board, Gypsum powder, Rangi ,Milango, Melamine/Mdf , Mikanda ya...
  2. petermunanka338

    Kununua VIFAA VYA UJENZI, Bei Nafuu

    KARIBUNI BBS TRADERS , **DUKA LA VIFAA VYA UJENZI** (BUILDING MATERIALS) Mahali: Kariakoo, mtaa wa Nyamwezi na Lindi **Tunauza vitu vya ujenzi , finishing materials, na kadhalika. ** Baadhi ya bidhaa zilizopo:- Cement, Bati, Gypsum board, Gypsum powder, Rangi ,Milango, Melamine/Mdf , Mikanda ya...
  3. petermunanka338

    Nataka kujifunza kichina

    Sisi pia tutatoa huduma hiyo mkuu, mwezi wa 7 tunafungua rasmi. Gharama zitakuwa ndogo sana kulinganisha na zile za udsm. Afu pia training center yetu tunaweza kumfata mwanafunzi alipo kwa wale ambao wapo maeneo ya mjini. 谢谢您 karibu Sana [emoji846]
  4. petermunanka338

    Nataka kujifunza kichina

    Bakari, 当然,你是中国人哈哈,你的中文比我的好
  5. petermunanka338

    Nataka kujifunza kichina

    Bakari,很高兴认识你我会联系你[emoji16]
  6. petermunanka338

    Jifunze lugha ya kichina(Mandarin) , Fanya biashara za mizigo kutoka China. Mambo ya madalali yanaua biashara okoa bei za mizigo

    Yaani kama mtu yupo makini, mwezi mmoja unatosha kuanza kufanya mazungumzo ya kawaida
  7. petermunanka338

    Jifunze lugha ya kichina(Mandarin) , Fanya biashara za mizigo kutoka China. Mambo ya madalali yanaua biashara okoa bei za mizigo

    Yaani Kati ya miji niliyoishi China,ni ukweli nimetokea kupenda 成都 sanaa,kuliko miji mingine
  8. petermunanka338

    Jifunze lugha ya kichina(Mandarin) , Fanya biashara za mizigo kutoka China. Mambo ya madalali yanaua biashara okoa bei za mizigo

    我也很高兴认识你 ,来吧我会教你汉字,您的拼音已经好 哈哈😄
  9. petermunanka338

    Jifunze lugha ya kichina(Mandarin) , Fanya biashara za mizigo kutoka China. Mambo ya madalali yanaua biashara okoa bei za mizigo

    Kwa mimi biashara za mizigo siziwezi kwakuwa Sina uelewa Sana kwenye hii sekta.Lakini Kuna kampuni za bei nzuri nnaweza kukuunganisha nao,ukalinganisha gharama zao na kuamua ipi Bora kwako
  10. petermunanka338

    Jifunze lugha ya kichina(Mandarin) , Fanya biashara za mizigo kutoka China. Mambo ya madalali yanaua biashara okoa bei za mizigo

    Ukipata nafasi nipigie simu tuongee,,nadhani utakuwa unaweza kuongea to a certain extent, right?
  11. petermunanka338

    Kujifunza na kujua kuzungumza lugha ya kichina,wote chinese bridge training center

    Sisi tunafungua training course ya kufundisha Kichina (Mandarin 普通话) dar -kwa wale wanafunzi wa nje ya mkoa tunaweza kukufundisha mtandaoni kupitiasimu, Whatsapp na Videocalls huu ,mwezi wa 7 mwishoni tunaanza huduma. Karibu sana. unaweza kunipata whatsapp +8615928077274 ila kwa sasa huwezi...
  12. petermunanka338

    Kujifunza na kujua kuzungumza lugha ya kichina,wote chinese bridge training center

    Sisi tunafungua training course ya kufundisha Kichina (Mandarin 普通话) dar huu mwezi wa 7 mwishoni. Karibu sana. unaweza kunipata whatsapp +8615928077274 ila kwa sasa huwezi kunipigia simu ya kawaida kwakuwa bado nipo nnje ya nchi. KARIBU SANA mkuu
Back
Top Bottom