Jifunze lugha ya kichina(Mandarin) , Fanya biashara za mizigo kutoka China. Mambo ya madalali yanaua biashara okoa bei za mizigo

Jul 11, 2015
29
9
Mwandishi: Peter Munanka
Whatsapp Number: +8615928077274
Email:youngmuna338@yahoo.com
youngmuna338@outlook.com

Sio sili kwamba Wachina wamekuwa wawekezaji(investors) wanaoongoza Tanzania kwa miaka mingi sasa. Katika biashara mbalimbali Dar es Salaam na hata hata nje mikoani especially maduka yote ya nguo, viatu , vifaa vya umeme, simu kariakoo mpaka mikoani asilimia 90 ya bidhaa hizi zimetoka China. Hivi karibuni umesikia kuna kampuni mpya inaitwa Silent Oceans bongo ambayo inadeal na kusafirisha mizigo Tanzania-China na wanatengeneza hela nyingi sana pamoja na kwamba sasahivi hali ya uchumi Tanzania sio stable sana. Hii ni kwasababu wafanyabiashara wengi wa category za kati wameamua kupeleka biashara zao nje ya nchi. mfano mzuri China simu aina ya iphone 6 inauzwa sio zaidi ya Tshs.350,000 ambazo kwa china ni sawa na (1000RMB) kwa makadilio kwenye soko la 广州(Guangzhou) . Maduka yote ya nguo,simu,viatu n.k pale Kariakoo wanatoa mizigo yao China kwasababu ya unafuu wa bei. Mpaka mteja ananunua shati elfu 35,000 kariakoo ujue hiyo bei ni sio china ya mara 2 ya bei aliyonunulia kule Guangzhou.

Turudi kwenye point nisiongee sana nikaja kuwaboa kwasababu bado nawahitaji ninyi wateja wangu haha .Kwanini naandika yote haya?.....Mimi nimekuwa nikiishi China kwa miaka minne (4)sasa katika jiji la Chengdu,Sichuan(成都). Nimegundua umuhimu wa:-
1.Kuwa na connection na mtu aliyepo China kwa ajili ya mizigo.
Kabla ya kuja china nlikuwa nimeagiza mzigo mdogo sana wa simu kutoka China kupitia watanzania wanaokaa pale Guangzhou lakini baada ya kuja huku na kufuatilia inaonekana hawa ni madalali na gharama wanayocharge ni kubwa mno. Kuna umuhimu sana na kuwa na koneksheni na watu waliopo China kwa ajili ya kupata mzigo wa bei nafuu na faida nyingine nyingi. Nafungua ofisi ndogo ya mizigo midogo midogo kutoka China ambayo itarahisisha process na kupunguza bei kwa wafanyabiashara wadogowadogo. Kwangu mimi hii ni hatua ya kwanza.

2.Kujifunza lugha za hawa wenzetu wachina haswa kwa watu wenye mipango ya kuagiza mizigo.

Pamoja na huduma ya kufundisha lugha kwa wale ambao wanataka kwenda wenyewe China ili kuondoa (usumbufu wa madalali) in english we call them middlemen. Pia baadae mwezi wa 12 kutakuwa na huduma za utalii na consultancy(ushahuri) wa kibiashara.
 
Mkuu kila la kheri.
Nachokuomba endelea kufanya utafiti wa bei pamoja na gharama za usafiri wa mizigo,lkn pia kodi hasa huku nyumbani tz na bila kisahau pia utupe na mchakato wa visa pamoja na nauli ya kuja huko.
 
Mkuu kila la kheri.
Nachokuomba endelea kufanya utafiti wa bei pamoja na gharama za usafiri wa mizigo,lkn pia kodi hasa huku nyumbani tz na bila kisahau pia utupe na mchakato wa visa pamoja na nauli ya kuja huko.
[/QUOTE
haina shida mkuu, tunaweza kuwasiliana...nicheki Whatsapp(+8615928077274)
 
6622daf8-0a62-439c-8c52-f841f81c7ccf.jpg
kuna hako kamtihani kamenishinda.
 
Ila usiwe na bei kama hao jamaa wa kusafirisha bei zao hatari, $500 kwa cmb. Ukitumia shipper mchina bei inashuka maradufu...
 
Ila usiwe na bei kama hao jamaa wa kusafirisha bei zao hatari, $500 kwa cmb. Ukitumia shipper mchina bei inashuka maradufu...
Kwa mimi biashara za mizigo siziwezi kwakuwa Sina uelewa Sana kwenye hii sekta.Lakini Kuna kampuni za bei nzuri nnaweza kukuunganisha nao,ukalinganisha gharama zao na kuamua ipi Bora kwako
 
Back
Top Bottom