Recent content by petermasebo90

  1. P

    GE2020 Tusidanganyane! Tundu Lissu ndie mpinzani pekee anaeweza kumpa ushindani Rais Magufuli kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oct 2020

    Kwakweli ifike mahara CDM wasome nyakati, kipiñdi hiki siyo cha kusimamisha mtu kwenye nafasi ya urais ili mradi tu hapana, nashindwa kuelewa kama nikweli watu wanne zaidi wameonesha nia ya kugombea urais ndani ya CHADEMA(CDM) ambao ni MBOWE, MSIGWA, NYARANDU, LISSU nk tusitegemee upinzani tena...
  2. P

    Napinga kutumbuliwa kwa Mrisho Gambo

    Hampaswi kuusema sana udini maana nchi yetu ni huru na haijui hayo mambo ya udini.
Back
Top Bottom