Recent content by peterkatemi

  1. peterkatemi

    JamiiForums Tanzania Nimefika mwisho wa kufikiri.... Nifanyeje? Naomba msaada wako

    apo chunya ndo mkombozi mkuu huko kazi za 400k kwa mwezi ni nyingi sana ila uwe na msuri ukikomaa zako miezi4 utapata msingi japo ni kidogo
  2. peterkatemi

    JamiiForums Tanzania Pata pesa tujue tabia yako

    hata mwenye pesa kuna tabia hawezi onyesha pia but akiishiwa pesa zinainekana
  3. peterkatemi

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli mwanaume anaejielewa lazima awe bahili? Toa maoni yako

    ni kweli mwanaume anaejielewa lazima awe bahili
  4. peterkatemi

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni hisia na si kuhudumia kwa kutoa hela

    kwan c na wao wanawake wanahisia au hisia zipo kwetu wanaume pekee
  5. peterkatemi

    JamiiForums Tanzania Kuna presha nyingi ambazo jamii huziona kwa Wasichana na kusahau Wavulana wanabeba mizigo mizito moyoni

    Ingetokea pia vijana wa Kiume wapewe elimu kuhusu kuweka akiba maana wakipata wanatumia sana wanajisahau
Back
Top Bottom