Recent content by Peter sambe

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kuku aina ya SASSO wakiwa na siku 52

    Vifaranga wa sasso nibora sana jaman.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Naitaji kuku wa miezi miwili kwa ajili ya kufuga

    Habari ndugu zangu..Mimi naitwa petre sambe naishi moshi.nimeitimu elimu ya ufugaji kwa ngazi cheti pia nafuga.kwahiyo nakaribisha mtu yeyote anaetaka kujua Mambo kuhusu ufugaji na changomto zake na jinsi yakuziepuka ili upate faida.karibuni tujifunze pamoja
  3. P

    JamiiForums Tanzania Naitaji kuku wa miezi miwili kwa ajili ya kufuga

    Kuku wa sasso wanataga mayai 250 na kuendelea Tena wakianza kutaga wanataga kama wanaahindana.ila zingatia kuea chakula ambacho Ni sahii kwao nasema hivi coz nawajua vizuri sana.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Naitaji kuku wa miezi miwili kwa ajili ya kufuga

    Kwa anaetaka kufuga kuku wa mayai yaani chotara(crossbreed) hybrid wastan wa jogoo mmoja Ni watetea kumi(10)
Back
Top Bottom