Recent content by Peter Mon

  1. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuanza nae maisha

    Sawa mkuu,ila sio ndoa ni kua na mtu ambae baada ata y miak 5 mnaeza kuingia kwny ndoa
  2. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuanza nae maisha

    Habari wakuu Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, nimejiajiri mwenyewe (namiliki stationery & duka la miamala ya kifedha i.e tigopesa). Natafuta mwanamke ambaye kweli yuko tayari kuanza maisha na awe na mapenzi ya kweli. Elimu yangu ni diploma ya Utawala.
Back
Top Bottom